Hivi urembo unaruhusiwa humo majeshini?

Hivi urembo unaruhusiwa humo majeshini?

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Kama una tupicha cha warembo wetu majeshini tupiamo humu
20200526_103946.jpg
 
Kama una tupicha cha warembo wetu majeshini tupiamo humu
View attachment 1459898
Huyu kachanganya mambo ni tatizo hilo.
Kuvaa heleni na uniform ni kuchanganya uniform za watu.
Kuvaa earphones tu ni kosa sasa huyu kavaa heleni si ndo kaingia cha kike kabisa.

Atakuwa ndiye boss wa eneo lake naona ni SSP, otherwise tusingeona hii picha leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mhifadhi,kwahiyo ni incharge wa eneo lake
 
Huyu kachanganya mambo ni tatizo hilo.
Kuvaa heleni na uniform ni kuchanganya uniform za watu.
Kuvaa earphones tu ni kosa sasa huyu kavaa heleni si ndo kaingia cha kike kabisa.

Atakuwa ndiye boss wa eneo lake naona ni SSP, otherwise tusingeona hii picha leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni wale askari wa wanyamapori, anapendeza asijekuwatisha wanyama wakahama hifadhini.
 
Halafu angekuwa na nguo za kiraia angeonekana wa kawaida uniform zimeongozea aonekane mrembo
 
Watu au kikundi cha watu ambao ni idara ya serikali wana silaha za moto kwa ajili ya ulinzi na usalama.wa jambo fulani na wako organized kwa style ya kijeshi ni jeshi au sio jeshi, uko dunia gani hujui kwamba askari wa wanyapori wana jeshi Lao lakini ni jeshi usu(paramilitary) au unafikiri askari wa wanyapori hawana mafunzo ya ulinzi na usalama wako mdebwedo kama wewe.Halafu nimetumia neno majeshini sijasema Hutu mrembo ni mwanajeshi,ninaposema majeshini ninamaanisha majeshi yote,inamaana wewe ukisikia jeshi la polisi kwani maana yake polisi ni wanajeshi au? Careem
 
Anyway ana cheo gani?

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Back
Top Bottom