Hivi Urusi na Ukraine zipo bara moja?

Hivi Urusi na Ukraine zipo bara moja?

MakaDik

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Posts
239
Reaction score
136
Nisaidieni wadau sijawa mzuri sana kwenye jiografia ukweli ni kwamba sina majibu juu ya hayo mataifa mawili kwamba yapo bara moja au mabara tofauti?
 
Swali zuri. Urusi ipo bara la ulaya na pia Urusi ipo bara la Asia .Urusi ni trans-continental country.ipo kote kote
 
Nisaidieni wadau sijawa mzuri sana kwenye jiografia ukweli ni kwamba sina majibu juu ya hayo mataifa mawili kwamba yapo bara moja au mabara tofauti?

USSR unafahamu somo la historia na nyerere wako kutuletea ujamaa hapa
 
Nisaidieni wadau sijawa mzuri sana kwenye jiografia ukweli ni kwamba sina majibu juu ya hayo mataifa mawili kwamba yapo bara moja au mabara tofauti?
Kuusu bara wapo bara moja na wamepakana kama tulivyo Tz na Rwanda ila swali ni kwamba Puttin anataka nini, yaani chanzo cha mgogoro wao ni nini haswa maana nimejaribu kutafta nimekosa msaada wadau.
 
Mzembe weye!Kuna maswali mtu akiuliza unaona kweli ni sahihi.Lakini swali lako,hapana.Unajivua nguo.
Mkuu sasa Lengo la jamii forum ni nini? Kwako kama ni rahisi au halina interest na ww si unaliacha unaenda kwenye thread nyingine ambayo utakua interested! Wengine watakuja kumpa majibu anayoyataka!
Huku hata 1+1 tunajibu ikiwa lengo ni kufahamu /kupata maarifa !
I demand respect to others!
 
Haya muelekeze atakacho.Ila mimi mtu akiniuliza swali la kizembe huwa namdanganya ili akili imkae sawa.
 
Mkuu sasa Lengo la jamii forum ni nini? Kwako kama ni rahisi au halina interest na ww si unaliacha unaenda kwenye thread nyingine ambayo utakua interested! Wengine watakuja kumpa majibu anayoyataka!
Huku hata 1+1 tunajibu ikiwa lengo ni kufahamu /kupata maarifa !
I demand respect to others!
Asante sana kunisaidia ndugu
 
Back
Top Bottom