Hivi ushawahi kufikiria hiki kitu?

Hivi ushawahi kufikiria hiki kitu?

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
394
Reaction score
720
Embu fikiria kama viungo vyetu mwilini vingekuwa vinafungwa kwa nati au screw[emoji3]

Sasa siku moja ukaenda kuoga tena ukafungua na machine(kirungu) ili uisafishe vizuri afu mara paah nati inakuponyoka inaingia kwenye sink nakupotelea huko jumla[emoji3][emoji3][emoji3] afu uambiwe kuwa nati hazina spare dah hivi utafanyaje [emoji3][emoji3]
 
Nyuzi za JF kuanzia saa sita usiku huwa ni tabu tupu😂😂😂. kuna watu huwa mna type mkiwa ndotoni, wengine wanashtuka kutoka usingizini wanamuwaza CAG wanakuja kutema nyongo humu
 
Embu fikiria kama viungo vyetu mwilini vingekuwa vinafungwa kwa nati au screw[emoji3]

Sasa siku moja ukaenda kuoga tena ukafungua na machine(kirungu) ili uisafishe vizuri afu mara paah nati inakuponyoka inaingia kwenye sink nakupotelea huko jumla[emoji3][emoji3][emoji3] afu uambiwe kuwa nati hazina spare dah hivi utafanyaje [emoji3][emoji3]
Meno ya Siafu tu akikuvamia tu huko kwenye kikojoleo balaa lake ni HD

sasa hiyo nati itaingia wapi..achen nati iitwe nati
 
Back
Top Bottom