Wazungu hawana utajir wa misukule pia,Katika pitapita zako nje na ndani ya Tanzania hivi ushawahi kumuona chizi la kizungu kama ambavyo machizi tunayoyaona mitaani kwetu huku?
Basi jua kwamba uchizi unatokana na clan history, ukiona mtu chizi ujue kwenye ukoo wao pia kuna mtu aliwahi kuwa chizi kipindi cha nyuma huko.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Na ata Tabia ya wivu wa kijinga hawanaWazungu hawana utajir wa misukule pia,
Unamaanisha ndagoWazungu hawana utajir wa misukule pia,
Ulimuona wapiHapana ila nshawahi ona mzungu kichaa
Nadhani anasemea yule mwanamuziki...mzungu kichaa
Kumbe anamzungumzia yuleNadhani anasemea yule mwanamuziki...mzungu kichaa
Kumbe ni mzungu huyo jamaa??Zero IQ ni mzungu yule mbona ni chizi!
Sasa utamuona wapi km hujawahi fika ulaya umezoea kuona wazungu wasafiri sasa sijui unataka vichaa wasafiri...? [emoji23] [emoji23]Katika pitapita zako nje na ndani ya Tanzania hivi ushawahi kumuona chizi la kizungu kama ambavyo machizi tunayoyaona mitaani kwetu huku?
Basi jua kwamba uchizi unatokana na clan history, ukiona mtu chizi ujue kwenye ukoo wao pia kuna mtu aliwahi kuwa chizi kipindi cha nyuma huko.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Kuna factors nyingi tu za kupelekea Mtu kuwa Chizi na siyo kwamba wengine wanakuwa hivyo kwa sababu zako. Uvutaji wa Bangi Kupitiliza nao ni sehemu mojawapo.Katika pitapita zako nje na ndani ya Tanzania hivi ushawahi kumuona chizi la kizungu kama ambavyo machizi tunayoyaona mitaani kwetu huku?
Basi jua kwamba uchizi unatokana na clan history, ukiona mtu chizi ujue kwenye ukoo wao pia kuna mtu aliwahi kuwa chizi kipindi cha nyuma huko.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Na tabia ya kuvumilia utawala mbovu wa Ccm walishaacha karne nyingi sanaNa ata Tabia ya wivu wa kijinga hawana
Dah...hii ni kwa wahenga tu...kizazi Cha JK watakushangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nadhani anasemea yule mwanamuziki...mzungu kichaa
Nadhani