Hivi ushawahi kuwa na mchepuko mwenye wivu kuliko mke wako?

Hivi ushawahi kuwa na mchepuko mwenye wivu kuliko mke wako?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
JF wasaalam 🙏 🙏

Duniani Kuna mengi yakustaajabisha na mengine mengi ya kufurahisha!

Katika kuzunguka huko kule nikanasa Kwa single mother mmoja mwenye heshima zake na chanzo Cha yeye kuwa single mother ni mimba akiwa Bado yupo kwao ndo kwanza kamaliza form4 tu

Huyu binti alikuwa na nidhamu sana. Na nilimwambia mimi nina mke Kila kitu tukaweka wazi.

Shida yake ukimwambia tu kuwa Leo haupo Kwa bi mkubwa upo safari na utalala loudge.

Kwanza utaulizwa maswali mengi sana ukitaka upuzie sawa lkn mwisho wa mazungumzo uliyoyaanzisha wewe atakuuliza swali langu hujanijibu haya nambie.

Sasa ukifika unapoenda na umwambie upo lodge kwanza utapigiwa simu muda huo mnaongea wee then mnaagana na kutakiana usiku mwema lakini pasipo kutegemea simu itapigwa Tena mida ya saa6-7 Hivi au hata saa9 usiku!

Yaani simu zinakutesa kana kwamba ndo za wife.

Katika ya wote ambao wengine sitaelezea visa vyao. Kuna huyu hapa Ndo kiboko.

Huyu Manzi yeye ana uwezo wake mzuri kiasi ila ana wivu Hadi anakera

Akikupigia simu usipokee kesi. Akituma txt usijibu Kwa wakat kesi

Yeye alienda mbali zaidi na kutaka katika siku zangu7 za mapumziko basi niwe nampa siku3 mchana na usiku yaani sitoki ndani.

Wazee ulikuwa mtihani sana kwangu huu.

Shida kubwa ya huyu mfn ukimwambia unasafiri mfano unatoka kahama unaenda chato ama geita (yeye alikuwa wa mwanza) nayeye anaanza safar kukufukuzia.

Mbaya zaidi hakuambii unafika unaanza kuandaa danga jingine Ili ujipoze na safari mnakubaliana na kuelekea room(loudge)

Mko Zenu mnagonoka huna hili Wala lile mara paap simu inaita.

Unapuzia kuipokea unaendelea kupeleka moto kama kawaida simu inapigwa Tena na tena.

Wasiwasi unakuingia unaenda kuangalia Unakutana na msg upo wapi?mbona hupokei?
Mimi nimefika nipo sehem fln!!

Pokea simu. Oooh kumbe ndo zako? Sawa!!!

Bado una hofu simu inapigwa Tena unaamua utoke Nje Ili ukaongee nae vzr. Unachukulia utani ila maeneo anayotaja unayajua kabisa nayeye ni mgeni hapo ulipo wewe.

Bado mnaongea boda inaitwa mara anapewa boda ongea na huyu umwambie upo wapi anilete!!

Boda anakuuliza wapi hiyo mzee nimlete chap?

Sasa inakubidi ukate simu na kuweka kidenge kwenye simu yako Kwa muda Ili uweke mambo Yako sawa ndo umrudie.

Wazee huyu alikuwa kiboko mara2 zote ananifuma katika Hali hii nikaamua nisiwe na mwambia kabisa.

Pamoja na hayo hakugundua kuwa nilikuwa na manzi mwingine najitetea mpaka basi.

Lakini ukiwa kwako Wala Hana muda wa kukaa anakupigia simu au kukuchatisha otherwise umuanze wewe!!

Sasa unajiuliza Ina maana mke wangu yeye hanipendi na hanionei wivu kama Hii michepuko?

Hiki kisa kimoja wapo nitakimalizia kwenye comment.
 
Attachments

  • 20240705_143626.jpg
    20240705_143626.jpg
    162.8 KB · Views: 10
Niliwahi kuwa na demu wa aina inayokaribiana na hiyo.
Yeye alikuwa anataka mawasiliano tuwasiliane kila siku calls, normal text, akituma msg via wasap, nikiipotezea then akiniotea online mtandao mwingine inakuwa lawama.
Bado akawa analazimisha tuonane karibia kila siku kiasi kwamba kama ningemuendekeza ningeshindwa ku-balance mambo yangu Mengine.
Alikua anataka nimjulishe ratiba zangu.. ikitokea nimesafiri kwenda sehemu bila kumwambia anaona kama simjali vile...
Aisee, mapenzi ya kugandana namna ile yalinishinda.
Nilipogundua hali hiyo chaap nikaanza kujitoa.
Sikukawia Kumpiga chini, nilivizia kuna mistake alijichanganya, nikaona hapa hapa...
ikawa Kuvuja kwa pakachaa, nafuu ya mchukuzi....😊
 
Hata Mimi niliona Sasa huu utumwa kabisa sio starehe Tena. Akipiga mara2 hupokei anapiga Kwa no mpya asee kero juu ya kero
 
Shida ya wanaume wengi siyo wasiri yaani mchepuko unamweleza kila kitu kwanini
 
Back
Top Bottom