Habari zenu wapendwa wana JF
Mwenzenu natatanika kuhusu usomi, Usomi ni nini???
Bosi wangu ana degree tatu(5) na Masters tano (5) sasa sijui ndo nimuite msomi au nimuiteje maana ni bora angekuwa na PHD aitwe Dr. sasa PHD hasomi yeye anaendelea kusoma masters kasema anataka zifike 10 sasa huyu tumuite limbukeni, muelewa, msomi au nani jamaaniiiiii???????????????