Hivi utajiri mgumu kiasi hiki, mbona naishi kama sufuria

Hivi utajiri mgumu kiasi hiki, mbona naishi kama sufuria

Muccigang

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2022
Posts
1,313
Reaction score
1,918
Habari za muda huu:

Niende kwenye mada kabisa hivi mbona mimi kila siku stress za mizigo. Daah, biashara ni ngumu sana yaani. Mwezi huu nafurahi mwezi ujayo naanza stress yaani, hasa hizi za kuagiza nje cargo zinasumbua.

Msaada anae jua cargo nzuri nishachoka. Biashara za stress yaani, nawaza watu wanafikishaje hata 1b. Mbona mimi na stress hizi? Mbona wachina wamenyooka sana hii cargo ya saba? Nabadilisha yaani mpaka napagawa. Kila mwenye pesa anastress hizi hizi.
 
Pambana, walio stable hawakukata tamaa
 
Habari za muda huu
Niende kwenye mada kabisa ivi mbona mimi kila sku stress za mizgo Daah biashara ni ngumu sana yaan mwezi huu nafurah mwezi ujayo naanza stress yaan hasa izi za kuagiza nje cargo zinasumbua msaada anae jua cargo nzur nishachoka biashara za stress yaan nawaza watu wanafikishaje hata 1b mbona mm na stress izi mbona wachina wamenyooka sana hii cargo ya saba nabadilisha yaan mpaka napagawa kila mwenye pesa anastress hizi hizi
Mkuu biashara usiporoga hutoboi
 
JIPATIE HUDUMA YA LIPA KWA MPESA BURE:
VIGEZO[emoji116]
[emoji117]Sajili namba ya vodacom bila kuiwezesha mpesa.
[emoji117]Uwe na TIN namba
[emoji117]Uwe na kitambulisho cha NIDA
Ukiwa navyo hivyo nitumie via whatsapp 0758381938.
POPOTE ULIPO TZ UTAHUDUMIWA[emoji120]

Ninayo boss
 
Back
Top Bottom