Hivi utajiri mgumu kiasi hiki, mbona naishi kama sufuria

Muccigang

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2022
Posts
1,313
Reaction score
1,918
Habari za muda huu:

Niende kwenye mada kabisa hivi mbona mimi kila siku stress za mizigo. Daah, biashara ni ngumu sana yaani. Mwezi huu nafurahi mwezi ujayo naanza stress yaani, hasa hizi za kuagiza nje cargo zinasumbua.

Msaada anae jua cargo nzuri nishachoka. Biashara za stress yaani, nawaza watu wanafikishaje hata 1b. Mbona mimi na stress hizi? Mbona wachina wamenyooka sana hii cargo ya saba? Nabadilisha yaani mpaka napagawa. Kila mwenye pesa anastress hizi hizi.
 
Pambana, walio stable hawakukata tamaa
 
Mkuu biashara usiporoga hutoboi
 

Ninayo boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…