Maisha yetu ya kiswahili (kiafrika) ni kupendana na kusaidiana katika hali zote iwe misiba au harusi. Mababu walipeleka vyakula vibichi, maji na vitu vingine msibani au harusini kwa lengo la kusaidiana. Leo tunatoa pesa lengo ni hilo hilo kusaidiana. Ila kwa siku hizi imekuwa kerooooo (wizi) sio upendo tena.