Hivi Utumbo ni Red Meat?

Sabayi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
2,310
Reaction score
999
Wakuu naomba kujua kama utumbo nao ni red meat.Nimeamua kuacha kula nyama nyekundu kwa muda sasa ila nikikuta utumbo umepikwa kwenye ndizi aaaah huwa nashindwa kujizuia naomba kuelimishwa tafadhali
 
Mimi naona kwamba ni tatizo kwa mfano kama unakula utumbo wa ng'ombe bado pia ni hatari,nakushauri punguza kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…