Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustahili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON?

Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustahili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustaili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON au mpaka tutenge kodi za mama ntilie ili zikashibishe matumbo ya watu?

uwanja.jpg
 
Uwanja una shida nyingi huo, haufai kww AFCON, AFCON unataka viti quality sio maplastic kama hayo na kwa mkapa,
Na ndio mana hata Mwinyi kasema zenji wanajenga uwanja mpya kwa ajiili ya AFCON
 
huo uwanja wa Aman ni waste of Money, 2024 unajengaje kiwanja kama hicho? CCM mambo yao Hopeless kabsa
 
Viwanja vitakavyotumika Tanzania kwa AFCON ni Dar,Arusha na ZNZ
 
Back
Top Bottom