sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hivi ile dhana ya kua, Sokoine Stadium ni 'machinjio' ya Mbeya City inafanya kazi hadi msimu huu?!
Hebu tufatilie mechi zake zote alizocheza katika uwanja huo, msimu huu;
10/05/2016 Mbeya City 0 - 2 Yanga Yetu
21/05/2016 Mbeya City 0 - 0 Ndanda
10/09/2016 Mbeya City 1 - 2 Azam
17/09/2016 Mbeya City 0 - 0 Prisons
02/10/2016 Mbeya City 1 - 0 Mwadui
Ukiangalia kwa umakini, utagundua kua.. Mbeya City mbele ya mashabiki wao, uwanja wao... [emoji116] [emoji116]
Kagongwa: Mechi 2
Sare [Suluhu]: Mechi 3
Kashinda: Mechi 1 [hii mechi kwa jinsi ilivyojaa fitina, figisu, rafu za ndani na nje ya uwanja, ilimbidi kocha wa timu pinzani ajiuzuru hapo hapo kufundisha soka nchini Tanzania.]
Hii inatuonesha kua.. Kwa sasa Sokoine Stadium si 'machinjio' tena.. Bali ni ukumbi ambao kila timu inaenda kujichukulia pointi.
'Ukumbi' wenyewe.. [emoji116]
Mpaka sasa yule Mnyama mkali kabisa mwituni, pengine kuliko wote.. Simba yupo jijini Mbeya kwa ajili ya 'shughuli' moja tu.. kukabidhiwa pointi zake tatu toka Mbeya City.
Hii 'shughuli' ya kukabidhiwa pointi 3 itafanyika mnamo tarehe 12/10/2016 katika 'ukumbi' wa Sokoine... wote mnakaribishwa.