Hivi uwezekano wa Jaji wa kusahau yanayosemwa kila siku haupo?

Hivi uwezekano wa Jaji wa kusahau yanayosemwa kila siku haupo?

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Kila siku jaji anaandika na kuweka mafaili lundo. Sasa nauliza tangu kesi ianze mpama leo bado anakumbuama tu aliandika nini na aliandika wapi?

Je, nani wa kuhakikisha kwamaba manavyovisema vinaandikwa. Kama anavitupilia mbali mtajuaje! Kila siku mnaongea na shahidi anatoa ushahidi je Kama vianaishia pale kizimbani na haandiki chochote au hata akiandika akienda nyumbani anavhana karatsi aliyoandika mtajuaje!!!
 
nani wa kuhakikisha kwamaba manavyovisema vinaandikwa. Kama anavitupilia mbali mtajuaje! Kila siku mnaongea na shahidi anatoa ushahidi je Kama vianaishia pale kizimbani na haandiki chochote au hata akiandika akienda nyumbani anavhana karatsi aliyoandika mtajuaje!!!
Atakayetoa hukumu ya kesi ya Mbowe siyo jaji, hajawahi kuwa jaji na hayupo hapo mahakamani.

Hayo makaratasi hayana kazi yoyote na ushahidi wa mahakamani ni michakato hewa tu.

Nadhani umenielewa.
 
Mkuu lugha yako inatatiza
Naona hata na ww hukumbuki kuandika inavyopaswa.
 
Hakuna Jaji pale
Anakula kwa urefu wa kambayake
Katoka Mwanza kambayake ndefu
Majaji waliopo Dar msilete nongwa
 
Back
Top Bottom