Hivi Uzi gani unaongoza kwa replies?

Hivi Uzi gani unaongoza kwa replies?

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
Oya washkaji uzi gani una comments/replies nyingi?

Kwenye pitapita zangu, nimeona ule Uzi wa Manchester United una replies kama 190k hv na wa arsenal una 140k approx.

Uzi wa "Mikeka"(betting) una replies 372k

Kuna uzi una replies nyingi kuzidi huu?

Utume humu kweny reply yako kama unadhani unaongoza.

Thanks.
 
Back
Top Bottom