Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Kwani papa si ni yule mnyama naskia!!Vatican ni nchi huru na haifungaman na upande wowote. Hata ukiwekewa vikwazo ila ukitaka kwenda Vatican ni ruksa hakuna wa kukuzuia.Utaratibu uko wazi kipindi cha uchaguzi kwenye nchi yako huwezi kupewa baraka za kuingia kukwepa mgongano wa kimaslah. Ukimaliza uchaguzi ruksa ya kuingia ipo palepale. Vatican ni sehemu ya kusuluhisha na kupapatanisha kidiplomasia zaidi.Papa anasikilizwa sana hapa dunia
Tamko la Vatican Ni kuwa 'hawapokei mwanasiasa yoyote katika kipindi Cha uchaguzi'Nawaza tu. Kwamba ni nchi gani yenye ubavu wa kumkataria secretary of state wa USA kuingia nchini kwao isiweze kulimwa vikwazo kama mvua.
Majuzi Vatican imemkataria pompea kuingia Vatican kama nchi na akaufyata. Sasa hii siyo proof kwamba Vatican ni heaven ya hapa duniani?
Leo Trump pia amesalimu amri kwa kuwaomba kwa wakatoliki kwamba bila wao marekani haipo.
Naomba mnitajie nchi yenye ubavu wa kumzuia pompeo asiingie nchini kwao na ikabaki salama!
mnyama ganiKwani papa si ni yule mnyama naskia!!
Mnyama wa nchi gavumnyama gani