Hivi vazi la chupi kwa mwanamke lina kazi gani?

unajua wakati mwingi bange unatatakiwa uvute ukiwa umekula nasiyo kwenda kuvutia chooni ukitoka huko lazim utakuwa na mawazio kama hayo tu
Kila Siku nasema msihusishe bangi na vitu vyakipumbavu ,sasa ntaanza kuwachapa viboko mnaoihusisha na ujinga kama huu,
 
da kaka inaonekana unavuta bange wewe mbona unaitetea kama nzuri
Ndiyo natumia mkuu na sijawahi Fanya vitu vya hali ya chini, vipi we unatumia,ushawahi tumia ukafanya upuuzi kama huo?? Au upuuzi was aina yeyote ile??.
 
Mkuu kutaja chupi mi huku dushe limestuka kutoka mafichonk
 
Hebu fikiria
1. Mwanamke amepata ashki au nyege zimepanda alafu papuchi iteme ute ute au maji maji bila chupi.
2. Mkeo yuko hedhi, then akae bila chupi?

Hayo mawili tu yatafakari kama ni mwanaume halisi.
 
Kazi ya Chupi Ni kuvuliwa

Oa then uwe unamvua Mwenyewe Mkeo Chupi ndio utajua Umuhimu wa Chupi

Kuna watu hawajui ladha ya Chupi Kwa Kuwa anakutana Na Mkewe wakiwa Kama vile wamekutana kwny Bwawa la kuogelea
Mkuu una akili sana asee, kwangu mm mwanamke tukifika akitaka kujivua huwa namkatza yaani hata akiwa mzuri vipi akianza kujivua tu nahisi nimedhulumiwa utamu wote wa tendo linalofuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…