Nimeliona jambo hili uku wilaya ya Iramba- Singida.
Hivi hawa walinzi wa amani wanaongozwa na sheria hipi kutoza faini hizo? na kama hipo kikomo chake ni shilingi ngapi?
Mfano kuna mtu kakamatwa ugoni kalipishwa laki 6.
Na mwingine alipigana na mwenzie walipopelekwa ofisi za Kata, kila mmoja kalipishwa laki nne nne, ili kulimaliza jambo chini chini badala ya kupeleka kesi Wilayani Kiomboi.
Is this fair?