Hivi viatu wenzangu mnavaliaga wapi?

Hivyo viatu last week nimeviona airport mwarabu fulani kavaa, I think kajivalia tu alikuwa anasindikiza wanae wanaboard kueleza SA. Ila Jumamosi honestlyz nikaona jamaa amevivaa mwenge nikachungulia kwenye iPhone 7 yake yuko anajiedit picha ambayo amevaa suruali na pose sio la kiume. Nikajua huyu kavaa kumaanisha
 
Kwani nimekwambia sina pesa?

Sijawahi ona tajiri amevaa hicho kiatu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜… bora ungekaa kimya mdogo wangu, hivyo viatu wamevaa matajiri ndio maana unaona vime trend sana, nakupa assignment tafuta picha ya mkutano EA-Business Platform uliofanyika Paris mwezi February mwaka huu... Wewe sema huvipendi ila ukiwa na pesa utanunua kitu chochote ambacho wewe unaona kina faida ila mwingine akikuona nacho ataona hakina maana... Me mwenyew sivipendi hivyo viatu ila najua uzur wa kitu unatokana na macho na uwezo (pesa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ