Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madhara ya kupekenyua yasiyokuhusu.Naomba kujuzwa hivi vidonge vinatibu ugonjwa gani maana nimekuta katika begi la mdogo wangu na hajaniambia kama anaumws na yeye bado ni mwanafunzi wa secondary.
Natanguliza shukrani![]()
N bora ungezipiga nyuma tukajua jina la dawa, zlizonying znafanana rangi na umbo. Hafu pia ungemuuliza anaumwa nn kuliko kumdukua na huku ungekuja kuthbitisha kama taarifa zake n kweli.Naomba kujuzwa hivi vidonge vinatibu ugonjwa gani maana nimekuta katika begi la mdogo wangu na hajaniambia kama anaumws na yeye bado ni mwanafunzi wa secondary.
Natanguliza shukrani![]()
Dawa ya minyoo hiyo ile ya zamaniNaomba kujuzwa hivi vidonge vinatibu ugonjwa gani maana nimekuta katika begi la mdogo wangu na hajaniambia kama anaumws na yeye bado ni mwanafunzi wa secondary.
Natanguliza shukrani![]()