Hivi vifurushi ni dalili za umasikini na kuibiwa

Hivi vifurushi ni dalili za umasikini na kuibiwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimewiwaaa kuuliza hili

Hivi majuzi nilinunua gb 1.4, Ghafla nikashangaaa siku mbili siwezi fungua website wala chat na WHATSUP

Nikasema isiwe taabu nikavuta niwezeshe, nikachungulia asubuhi nikawa na MB kadhaa. Asubuhi nikasema nikimonite naona na mb 765 mpaka tar 11 jun na mbs 650 mpaka tar 9 Nov.

Hivi sasaa naangalia data nakuta cha 765 mpaka 500 cha 650 kumekuwa 470

Kwa wale watu wa ofisi za simu swali kama mbs 650 zinaisha kesho tar 9 kwanini upunguze za tar 11jun na tar 9 Jun zote pamoja.

Why wasiondoee hizo za 650 nijue kesho nabaki na zile 765

Ajabu kila mdaa naangalia wanakata kotee kuwili aisee nimejutaa

Hatari
 
watu wenye dhamana wanasema muwe mnaweka data saver 😂😂 yaan bongo siasa huku wanatuibia wazi wazi
 
Ngoja nisi comment kitu.. Naweza kujikuta nakulinganisha na wa Ethiopia wanaokatiza kuelekea South Africa bure, ukakasirika😅..
 
Back
Top Bottom