Hivi vigezo kucheza timu ya Taifa ni nini?

Hivi vigezo kucheza timu ya Taifa ni nini?

zyogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
377
Reaction score
282
Nasikitika kuona Tanzania yenye wingi wa watu inapokuja mambo ya kitaifa kuna mushkeli.
Niulize hivi hii Serengeti boys ina wachezaji toka mikoa ipi?
Dar peke yake au?
 
Nchi nzima... Nini tatizo? ? ? au kufungwa na Nigeria? ?
 
Mchezo mmoja tu mkuu watajirekebisha michezo ijayo.
 
kigezo ni uwezo wa player,, ila kigezo kikubwa ni UNA UKARIBU GANI NA VIONGOZI WA TFF NA KOCHA... naomba kuwasilisha

Sent usingJamii Forums mobile app
 
kigezo ni uwezo wa player,, ila kigezo kikubwa ni UNA UKARIBU GANI NA VIONGOZI WA TFF NA KOCHA... naomba kuwasilisha

Sent usingJamii Forums mobile app
asante ndugu...kwa hali hii hata June tusubirie aibu
 
Back
Top Bottom