Hivi vigezo vya kupewa mkopo vimebadilishwa?

Hivi vigezo vya kupewa mkopo vimebadilishwa?

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Pamoja na mabadiliko mbalimbali yanayofanywa na tcu kila mwaka ili kuboresha. Nashindwa kuelewa kuwa hivi sasa vigezo vya uwezo wa kifedha, uyatima na ulemavu havifuatwi tena? Facult zinapotumiwa kama vigezo inamaanisha yatima, mlemavu na masikini ambaye ameomba kusoma sheria hapewi kisa facult.
Je, vp kuhusu waliohitim kidato cha sita 2009 na kabla? Hv bodi imeamua kubagua?
Je, bodi ipo kwa manufaa ya nani?
 
una ushahidi wa haya mkuu? It hasnt been declared officially.
 
Malalamiko juu ya Bodi hayataisha!!!!!
 
Pamoja na mabadiliko mbalimbali yanayofanywa na tcu kila mwaka ili kuboresha. Nashindwa kuelewa kuwa hivi sasa vigezo vya uwezo wa kifedha, uyatima na ulemavu havifuatwi tena? Facult zinapotumiwa kama vigezo inamaanisha yatima, mlemavu na masikini ambaye ameomba kusoma sheria hapewi kisa facult.
Je, vp kuhusu waliohitim kidato cha sita 2009 na kabla? Hv bodi imeamua kubagua?
Je, bodi ipo kwa manufaa ya nani?

mkuu sina nakala ya vigezo vya utoaji mikopo hapa,ila ka nimekuelewa ni ka vile wanaochukua law hawapewi mkopo,ni wao tu au kuna coz zingine?watakaochukua public relations wanaweza kupewa au nao mlemle?waliomaliza kabla ya 2009,wana maana ya waliomaliza hata diploma?
 
Bodi hawaangalii wewe nani au mtoto wa nani ndio maana hawakuweka option ya kutaka kujua kama wewe ni mfanyakazi au la,ikumbukwe kuna kozi ambazo zimepewa kipaumbele ambazo ukiwa unazichagua utaona zimeandikwa priority,hizo ndio zimeelekezwa zaidi na kiasi cha mkopo kimeandikwa nikiwa na maana ya ada,kwa zile ambazo ni non priority ndio hivyo vigezo vingine vitaangaliwa,education wana nafasi kubwa kupata kwa vile wengi wataajiriwa na serikali hivyo ni rahisi kwa serikali kupata pesa walizowakopesha,am out
 
Back
Top Bottom