Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Jamani,
Hivi sikuhiz kuwa na simu kuubwa ndo fasheni? Make vijana ofisini kwetu naona kama hawana cha kufikiria zaidi ya kushindana kununua simu mpya kubwa kubwa mara kwa mara.
Mwingine alinishangaza sana huyoo mkuku mkuku kanifata bila aibu eti khaa nawewe hujanunua simu mpya tu?? Unako kalekale kasimu Kako ka zamani?? Karibia wote sasa Wana simu mpya wewe tu khaa nawewe!!!![emoji32] ( ananishangaa) Nikamwambia ndugu, Usawa wenyewe huu wa kukaa unawaza simu tu simu tu masaa yote?? Wacha anichachafye acha ushamba wewe ebu nenda na wakati Nikamwambia Wee tangulia nenda tu nahuo wakati niache na ushamba wangu......Nikamuangaliaaaaaaa nakutikisa kichwa tu nikajisemea moyoni mtu kama huyu mfano ndo mume wangu tutakula simu Kila siku make hana mawazo ya msingi kabisa hata maisha yake yenyewe yanasikitisha though ana kama miaka 37 saivi na keshafanya Kazi kibao cha maana alichonacho ni mapupu yake tu.
Ndo nauliza mwenzenu mtu mwenye simu kubwa anaonekanaje kwani ??? Na mwenye kadogo kama kangu mie je??? Kwahiyo mwenye simu ndogo ni mshamba ?
Vijana wakati ndio huu hakuna kesho maisha ni Leo tusileweshwe na vitu vya kupita hivi. Na usimjaji mtu kwa kumuangalia tu huwezi jua.
Nawasilisha