Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Kumezuka mtindo sasa hivi ndani ya CCM vya watu kuanzisha vikundi vinavyojifungamanisha na mama na kujidai vinampigania. Yeye mwenyewe anasikia rahaaaa akijijua anapendwa na kutetewa kumbe lengo la vikundi hivi ni kutibu njaa zao na kutafuta ipendeleo wa madaraka na kuwatenga wengine. Sasa hivi kuna wanaoniita Chawa wa mama na wengine Kenge wa mama.
Kwa nayejua jua siasa vizuri ilipaswa vikundi hivi kukemewa na kuzuiwa kama aliyekuwa katibu mkuu alivyozuia kakukundi fulani ka walimu walaiojifanya kuunda eti jukwaa la walimu wazalendo wakati ule wa Magufuli.
Mama hajui migawanyiko na chuki ndani ya chama na serikali husababishwa na vikundi kama hivi badala yake anavishabikia. Wanaomshauri mama wanapaswa kumwambia anaukata mti alioikalia. Hivyo ni binundi vya wasaka madaraka na upendeleo havina tija yoyote kwa chama wala serikali. Muda ni mwalim mzuri utaongea