Ukweli usemwe tu,hizi timu kubwa za Kariakoo,zina wanachama wengi wa hovyo sana.
Hawa ndio wanaopiga kura kuchagua akina mangungo.Wamejaa uchawa mtupu na wanahongeka kirahisi sana,hususan matawi ya hapo Dar.
Njia bora ilikuwa mtoa fedha,kuchagua mtu sahihi,na kumpa nguvu ya kuendesha club kama ilivyofanyika kwa yanga.
Hakuna cha demokrasia wala sijui bodi ya ushauri.Jeshi la mtu mmoja mwenye akili timamu anapewa rungu.
Tusingeona wachezaji kama jobe kwenye timu ya Simba.
Kwa sasa viongozi ndio tatizo namba moja,pili wanachama machawa,tatu mwekezaji mwenyewe( magumashi mengi)
Kama Ihefu ina wafadhili,sina shaka hizi timu haziwezi kukosa wawekezaji wakubwa sana