Hivi viongozi wa serikali wana nguvu zilezile katka bmk????

Hivi viongozi wa serikali wana nguvu zilezile katka bmk????

Lenja

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
130
Reaction score
27
Ndugu zangu,wanJF, zaidi, kwa wale wenye uelewa mzuri zaidi katika hili: Mimi nafuatilia vizuri sana Bunge hili maalum la Katiba licha ya matatizo ya kila siku ya Umeme wa Tanesco kukatika-katika. Kuna jambo ambalo limenitatanisha sana.
Natumaini Wajumbe wote wa Binge maalum la katiba ni sawa. Pia, viongozi wa kiserikali wanapoingia mle ndani nguvu zao aka vyeo havistahili kuonekana wazi.
Nimeona nguvu za Mawaziri, Wanasheria, bado zinatumika na kuaminika sana. Mwenyekiti wa Muda, naye anategea zaidi maelezo ya maamuzi kutoka kwao huku baadhi ya Wajumbe Wasio na Nguvu hizo za Kisiasa, wakiachwa licha ya kuhitaji maelezo kusikilizwa.

Ndugu zangu,
Je, hili ni sawa kuendelea kule Mjengoni?????
 
Back
Top Bottom