baraka william
Member
- Aug 31, 2016
- 20
- 23
Hivi viongozi wa simba huu uwanja wa majaliwa stadium hamjauona mpaka mkachague uwanja wa jamhuri moro mliwaza nini?
Mmh?
Mmh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi viongozi wa simba huu uwanja wa majaliwa stadium hamjauona mpaka mkachague uwanja wa jamhuri moro mliwaza nini?
Mmh?
usafiri ni mgumu hukoHivi viongozi wa simba huu uwanja wa majaliwa stadium hamjauona mpaka mkachague uwanja wa jamhuri moro mliwaza nini?
Mmh?
Hii nayo hoja..Simba kama timu inaweza sana tuu sema mashabiki..Pesa mnazo za kwenda na kurudi Daslam.??
Kwani Namungo na Yanga waliwafunga mkitumia viwanja gani? Hebu acheni visingizio tengenezeni timu bana. Kila siku mnasingizia viwanja na uchawi. Wachawi nyie.Hivi viongozi wa simba huu uwanja wa majaliwa stadium hamjauona mpaka mkachague uwanja wa jamhuri moro mliwaza nini?
Mmh?