LGE2024 Hivi Viongozi wa Vitongoji, Vijiji na Mitaa hawawezi kupiga Kampeni hadi Waje Viongozi wa Kitaifa mfano Mbowe yuko Songwe?!

LGE2024 Hivi Viongozi wa Vitongoji, Vijiji na Mitaa hawawezi kupiga Kampeni hadi Waje Viongozi wa Kitaifa mfano Mbowe yuko Songwe?!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huu unaweza Kuwa ni aina nyingine ya ulaji tu

Uchaguzi wa Kitongoji Tarime mgeni rasmi kwenye mkutano wa Kampeni mh Tundu Antipas Lisu kutoka Chadema HQ DSM

Hata ACT Wazalendo Mzee Duni Haji katoka Zanzibar kuja kufanya Kampeni Mtaa wa Chuma Ulete Manzese

Inashangaza Sana 🐼

Mlale Unono 😀
 
Huu unaweza Kuwa ni aina nyingine ya ulaji tu

Uchaguzi wa Kitongoji Tarime mgeni rasmi kwenye mkutano wa Kampeni mh Tundu Antipas Lisu kutoka Chadema HQ DSM

Hata ACT WazalendoWe Mzee Duni Haji katoka Zanzibar kuja kufanya Kampeni Mtaa wa Chuma Ulete Manzese

Inashangaza Sana 🐼

Mlale Unono 😀
We umekariri wa upinzani tu, hujui pia na CCM nao viongozi wamesambaa!
 
CCM mbona wivu tenaa ,hata hchi kidogo wanachopambania chadema Bado mnataka kuwapora tenaa na Kwenye chaguzi mtashinda kote na mtasema wapiga kura wa chadema hawakujitokeza kupiga kuraa 😅😅,km mlivyosema hawana ilani na viongozi wao hawakukidhi vigezoo....

HAKI CCM mnazambii🙌
 
Back
Top Bottom