TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Bado ipo kaka ,ninayo pia naidumisha sana ,imebidi kuiheshimisha nipate walau number plate ya jina la ukoo wangu ili isijisikie vibayaCorolla 111 kitambo sana, nimewachapia sana dada zao na mashine hiyo nikiwa mvulana
Vintage car 🚗 heshima sana kwa gari Yako. Mimi niliiuza, nikaongezea hela nikavuta Toyota Mark ll Super Charger, twin cam 24Bado ipo kaka ,ninayo pia naidumisha sana ,imebidi kuiheshimisha nipate walau number plate ya jina la ukoo wangu ili isijisikie vibaya
Asante sana SheikhHicho kioo cha nyuma kinatumika wakati wa reverse
pale mbele kwa dereva kwa juu ndani kuna kioo ambazo kinatazamana na hiki cha nje huku nyuma ya gari View attachment 3397751
Kwanini magari ya serikali hayana vioo hivi?Blind spot mirrors, zinakuwezesha kuongea angle ambayo kwa kawaida kioo cha kawaida hakiwezi kuona
Ssrikali inanunua magari standard version , blind sport mirrors ni options kwenye expensive versions.Kwanini magari ya serikali hayana vioo hivi?
Hizo ni blind spot mirrors kwaajiri ya gari zenye body yenye elevation ya juu.Kaka Mad Max njoo ningesema ila naogopa wasije sema mbona corolla haina hivyo vitu wewe ni muongo
Mchanganuo mzuri sanaHizo ni blind spot mirrors kwaajiri ya gari zenye body yenye elevation ya juu.
Kwa mfano,ukiwa katika SUV kama Prado Land cruiser pua yake kubwa unaweza usione vema ubavuni maeneo ya fenders so hiyo itakusaidia kuweza kuona hozo blind spot.
Hiyo ya nyuma ya costa ni kusaidia kuona eneo la hiyo ngao ikitaka kugusa kitu au kugonga kitu kipindi anarudi nyuma au kuona kama kuna kitu chochote eneo la ngao hapo chini.
Mara nyingi hivi vioo huwa vina akisi kwa mbinuko (Convex reflection) na hivyo kutoa taswira pana ambayo inasaidia dereva na abiria kuona eneo kubwa.
Ahsante kaka ,weekend njema mkuu wanguHizo ni blind spot mirrors kwaajiri ya gari zenye body yenye elevation ya juu.
Kwa mfano,ukiwa katika SUV kama Prado Land cruiser pua yake kubwa unaweza usione vema ubavuni maeneo ya fenders so hiyo itakusaidia kuweza kuona hozo blind spot.
Hiyo ya nyuma ya costa ni kusaidia kuona eneo la hiyo ngao ikitaka kugusa kitu au kugonga kitu kipindi anarudi nyuma au kuona kama kuna kitu chochote eneo la ngao hapo chini.
Mara nyingi hivi vioo huwa vina akisi kwa mbinuko (Convex reflection) na hivyo kutoa taswira pana ambayo inasaidia dereva na abiria kuona eneo kubwa.
Asante na kwako pia.Ahsante kaka ,weekend njema mkuu wangu