cosmasmpwage
Member
- Feb 4, 2013
- 30
- 2
kuna mdogo wangu alitoka shuleni (mwanafunzi wa bweni), tulikuwa tunalala kitanda kimoja, alikuja na ugonjwa wa vipele vidogo2, aliniambukiza na mie, lakini yeye vikapona, ishu kwangu sasa yaani vinawasha afu ukikuna vinatoa majimaji maangavu,yale maji ukiyasambaza sehemu nyingine basi na hapo vitatokea tena, yaani nimejaribu kutumia sabuni za rungu au sabuni gani lakin wapi, vipele hivyo tokea mwezi wa nne up to day