Hivi viranja mliokuwa mnawakamata wachelewaji mnafanya kazi gani sasahivi?

Hivi viranja mliokuwa mnawakamata wachelewaji mnafanya kazi gani sasahivi?

kaseva

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
473
Reaction score
305
Ehee ebu tuambieni mpo sekta gani sasa hivi?
 
Na viongozi wa chakula sijuii wanafanya kazi ganii mdaa huu mana walikuaga wanoko balaaa...nakumbuka Advance kulikuwa na jamaa moja from Tukuyu mbeya alikuwa mnoko sijapata ona....
 
Wengi wao ni sungu sungu na wale viranja wa chakula wengi wao ni wakaanga chips
Na kwa majina nawajua wakizingua nawataja maana wapo humu humu
 
Kuna siku nilimkuta analinda ktk ofisi fulani.... Fani uliyoanza nayo usipokuwa makini si rahisi uiache maisha yako yote
 
Wengi kazi zao huku uswaz n unoko tu. Kuwachoma wenzie kwa Maafande
 
Na viongozi wa chakula sijuii wanafanya kazi ganii mdaa huu mana walikuaga wanoko balaaa...nakumbuka Advance kulikuwa na jamaa moja from Tukuyu mbeya alikuwa mnoko sijapata ona....
Jamani ndo nini sasa kutusema tuliowahi kua viongozi wa chakula[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Huwa wanataka kuleta unoko kwenye magroup!!
Wanakulaje za mbavu!!! Bwakyaakyakyahahah
 
Back
Top Bottom