Wote maderevaEhee ebu tuambieni mpo sekta gani sasa hivi?
Hehe niongezee na wale sikauti wa bwaloni wakati wa chakula na uji...hawa nahisi watakuwa jwtz woteEhee ebu tuambieni mpo sekta gani sasa hivi?
Jamani ndo nini sasa kutusema tuliowahi kua viongozi wa chakula[emoji17] [emoji17] [emoji17]Na viongozi wa chakula sijuii wanafanya kazi ganii mdaa huu mana walikuaga wanoko balaaa...nakumbuka Advance kulikuwa na jamaa moja from Tukuyu mbeya alikuwa mnoko sijapata ona....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tuko kibiti tunawawinda watunguaji!!.