tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Mara nyingi nimeona matukio kadhaa ya watu kutishiwa kufanyiwa KISOMO. Juzi wamefanyiwa KISOMO waliomteka MO, lakini mpaka sasa hawajapatikana. Huwa najiuliza hiki KISOMO kimeshawahi mvua nguo mtu?