Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Tusubiri wajeDuh.... ngoja nisome comment nije nijue ninichakufanya akianza...
Ya mwanzo?Miezi mitatu tu, vumilia
Dada yupiKwahyo dadaako kapewa mimba tayar?
Nimeuliza kwa niabaMzungu porii soon unakua baba? Mbona taarifa sina?
Nimekuelewa vyema mkuu. Leo alikuwa hataki niende kazini kabisa nmejiandaa mpaka nimemaliza namuaga kanuna hajajibu chochote. Juzi pia ilikuwa hivyoWenyewe hupenda kusema "every pregnancy/child is different" hivyo hakuna kukariri wala kushare experience wewe jua tu kucheza kwa akili kubwa ili kutokumkwaza mama kijacho. Wewe hata akikuchagulia bakuri la kunywea maji wewe piga tu huku ukitabasamu. Akisema leo usiende kazini wewe kaa nae vizuri mdanganye danganye bembeleza omba kisha aga kwa ahadi ya kurudi mapema. Ukichelewa uje na kile anachokipenda.
Mkuu nishaagizwa sana udongo. Kuna siku kataka machungwa saa nane usiku na ndani hayapo nilimbembeleza mpaka akanielewa.Mkuu ukiagizwa udongo uniambie nikuletee wa mfinyanzi
Wanajf kusaidiana
Kwema mkuu sijui huko.Haji Manara, kwema?