kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Vipi hali ya kiwanjani, Mze Mpili hakaonekana usiku huko na mikoba yake? Eti tunasikia anaishi nyumbani kwa Zitto Kabwe, ni kweli?Unaweza usijue maana yake ila kuna raha sana timu yako ikiwa underdog kuishinda club kubwa.
Niko mkoani huku bado naona kuna Bajaji inatembea na bendera ya njano.Unaweza kufikiri timu yake ndio bingwa.Hata hivyo ni furaha ya kumfunga bingwa.
Hizi timu msimu mzima zinajiandaa kwa mechi dhidi ya timu moja tu. Hazijiandai kwa ubingwa.
Hongera mnyama kwa ubingwa