Mbona ameelewekaRudia kusoma ulichoandika ww mbwiga
Ushindi wenu wa leo haukustaili hata kushangilia maana full team vs dodoma iliyopwaya wachezaji wawili kwa timu kubwa kama simba ni aibuNimesikitishwa na mchezo wa Dodoma jiji kwa kuwa waliimgia na nia ya kuumiza wachezaji.Huu uhuni unaratibiwa na kitimu chenzao kidogo ila kikongwe.
Ulitakaje?Ushindi wenu wa leo haukustaili hata kushangilia maana full team vs dodoma iliyopwaya wachezaji wawili kwa timu kubwa kama simba ni aibu
Ndio maana hako katimu kadogo kakifika kwenye mashindano ya CAF kupitia viti maalumu kanapigwa nje ndaniNimesikitishwa na mchezo wa Dodoma jiji kwa kuwa waliimgia na nia ya kuumiza wachezaji.Huu uhuni unaratibiwa na kitimu chenzao kidogo ila kikongwe.
Lwanga alipewa red, mbona mmeshindwa kuongeza la pili?Ushindi wenu wa leo haukustaili hata kushangilia maana full team vs dodoma iliyopwaya wachezaji wawili kwa timu kubwa kama simba ni aibu
Uwezo wenu ndiyo huu! Hakuna timu inayo wakamia. Wachezaji wenu wengi ni wazee! Ukimgusa kidogo tu, kaumia.Nimesikitishwa na mchezo wa Dodoma jiji kwa kuwa waliimgia na nia ya kuumiza wachezaji.Huu uhuni unaratibiwa na kitimu chenzao kidogo ila kikongwe.
Ulitaka amvue mzazi wako wa kike bikini?Uwezo wenu ndiyo huu! Hakuna timu inayo wakamia. Wachezaji wenu wengi ni wazee! Ukimgusa kidogo tu, kaumia.
Kagere kafunga goli la kuotea, anashangilia mpaka kufikia hatua ya kuvua jezi!!
Timu kongwe kubwa jinga miaka 4 halipati kombe halitaki kujiandaa na kukubali udhaifu wake kinachofuata uongozi wanatoa hela kwa timu mbovu ili Simba ifungwe mpira haupo hivyo ukiikosa hiyo timu nenda kaitafute jalalani au jaangwani utaipata maana ni mbovuTimu kongwe ni likubwa jinga linataka kufanikiwa kwa shortcut
Ina maana wewe uto hapo hujaelewa nini? kweli manyani fc mna brain ndogo kama ya khukhuRudia kusoma ulichoandika ww mbwiga
Hakuna timu ndogo kongwe,acha kutudanganya.Nimesikitishwa na mchezo wa Dodoma jiji kwa kuwa waliimgia na nia ya kuumiza wachezaji.Huu uhuni unaratibiwa na kitimu chenzao kidogo ila kikongwe.
Huyo chama mbona haisaidii berkane mechi ya nne wametoa drooSasa nimeamini Luis na Chama ndio walio ibeba Simba maana kinacho chezwa uwanjani kwa Sasa na Simba ni pira futuhi.