Hivi vitu vina kazi gani kwenye gari?

Aftermarket iyo button, inamaana mmiliki wa kwanza (kabla yako) amekiweka sasa kujua kazi gani hapo shughuli maana hakujatengenezwa na kampuni la iyo gari.

Unaweza ukakuta kill switch ya usalama.
 
Hii hapa ya kiweka ETC card, Electronic Toll Collection, kwa Japan wanatumia sana.


Kama jina linavyojieleza, ETC kinakusaidia kulipa toll mfano kwenye kivuko kama Kigamboni au Malls kama Mlimani City au Daraja kama la Kigamboni bila kusimamisha gari.

Yaan unalipa kwa kukatwa automatically.

Tz hatuna Kwahiyo kinabaki pambo tu
 
Kwahiyo hakuna kazi maana nikichomeka card Yake kinanipigia makelel so nikivunje ?
 
Hii kiusalama naona imekaa poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…