Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Naelekea airport. Nnimepanda basi la Tandika
Yaan kuna matraffick kila kituo na wengine wana nyota zao
Ajabu na kweli yaan basi zaidi ya 6 zimesimamishwa makonda wanasafwata wanawapa karataso imevingirishwa wanaondoka basi linaendelea na safari
Yaan hata kujamkuzuga kuzunguka basi kama wanakagua wapii
Hizi rushwa hazitakaa ziishe EAC