Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 730
- 989
Wakuu heshima kwenu, kwa muda sasa toka Corona ianze nimekuwa nasafiri na kibaby walker changu popote ninapoenda and huwa nasafiri mikoa mbalimbali hapa TZ Bara na kila mkoa lazima nisimame kuweka wese.
Sasa nilichogundua kwa tz nzima lake oil mafuta yao hawazidi 2500 wakati vituo vingi vinauza hadi 2600. Mfano mkoa ninaoishi ni 2450 ila vituo vingine ni 2600.
Hebu wajuzi wa mambo naomba kujuzwa.
Sasa nilichogundua kwa tz nzima lake oil mafuta yao hawazidi 2500 wakati vituo vingi vinauza hadi 2600. Mfano mkoa ninaoishi ni 2450 ila vituo vingine ni 2600.
Hebu wajuzi wa mambo naomba kujuzwa.