Wakuu heshima kwenu, kwa muda sasa toka Corona ianze nimekuwa nasafiri na kibaby walker changu popote ninapoenda and huwa nasafiri mikoa mbalimbali hapa TZ Bara na kila mkoa lazima nisimame kuweka wese.
Sasa nlichogundua kwa tz nzima lake oil mafuta yao hawazidi 2500 wakati vituo vingi vinauza hadi 2600. Mfano mkoa ninaoishi ni 2450 ila vituo vingine ni 2600.
Hebu wajuzi wa mambo naomba kujuzwa.
Naishi musoma mkuu iko hivi huwa naweka full tank elf80 nagongo hadi nzrga naongeza ya 40elf, then singida 40elf, dodoma 40elf natoboa hadi dar nabakia na mafuta ya kuzugiaUnatoka Dar umejaza wese, ukifika Pwani unajaza, ukifika Moro au Mkata(Tanga) unajaza au ukifika Iringa unajaza, Makambako ( Njombe region) unajaza, ukifika Igurusi (Mbeya) unajaza, Ukifika Songwe unajaza, ukifika pale mbele kidogo nimepsahau ila ni Rukwa, unajaza...hii ni bodaboda Mpwa?
Wsnapiga upepo na gari inajaa full tank, haya nayo maajabuAnajaza Lekioil anapigwa upepo tu,mafuta weka Puma, Total lkn huyu, utaniambia life ya injini itakuwaje
Hapo ndipo ninapowashangaaga binadamu toka lini upepo ukawa na uwezo wa kupandisha fuel gaugeWsnapiga upepo na gari inajaa full tank, haya nayo maajabu