F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Jan 9, 2008 #1 Ikiwa nchi zote zilizoendelea zikiwa ziko mbioni ( baadhi tayari) kuondoka kwenye analog transmissions kwenda digital, Tanzania wana mpango gani? Na nini athari zake kwetu sisi ambao ni addicts wa CNN na BBC?
Ikiwa nchi zote zilizoendelea zikiwa ziko mbioni ( baadhi tayari) kuondoka kwenye analog transmissions kwenda digital, Tanzania wana mpango gani? Na nini athari zake kwetu sisi ambao ni addicts wa CNN na BBC?