Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Kwa muda mrefu Vodacom wamekuwa ndio mtandao wangu namba moja na pendwa.
Katika siku za karibuni Vodacom wanakuwa kutoka ukubwa wa Simba na kurudi kuwa Paka na wakiendelea hivi watakuwa Panya kabisa!
Sikiliza maelezo yao kwa mteja unapopiga namba 100 ni ya kipuuzi sana na hakuna option tena ya kuongea na Mhudumu wetu.
Eti ubunifu wao ni kumwambia mteja mwishoni mwa maelezo yao walio rekodi ya kipuuzi eti kama unataka kusikiliza maelezo haya tena bonyeza, badala ya kum- refer mteja kwa "mhudumu wetu" ujinga mtupu!
Hivi nyie Vodacom mnadhani mnajua kila tatizo alilonalo mteja wenu? Hivyo changamoto mlizorekodi ndizo mnajua ndizo changamoto pekee za mteja. Mnadanganywa na Wataalam vilaza.
Kwenye international platforms tunakofanya "instant payments" option ya mobile banking kupitia mitandao ya simu za hapa nchini, Vodacom mmekuwa useless kabisa!