Hivi vyoo huwa havihitaji milango

Hayo Magunzi Ndiyo Maji Sasa

Ukiingia Unachukua Moja Mpaka Yaishe
Hayo Ndiyo MMaisha Ukifika Town Unatumia Tissue
Mvua ikiyanyeshea magunzi mbona shughuli.
 
Halafu Hivyo Havinuki Kama Hivi Vya Kisasa
Hivyo Vinakupa Ujuzi Wa Kulenga Unatazama Mara Moja Unakuwa Upo Sawa Sawa
Kule Pwani mkisafisha samaki matumbo mnayatupa chooni, harufu haitoki kabisa.
 
Mmh!!! Ni umasikini na kukosa elimu, hIvyo vidude vinakwaruza sehemu nyeti, nakupata vidondo visipo pona ndo maana mimi na kubali wa islamu bora wakose maji ya kupikia lakini ya chooni ya tapatikana kwenye birika au kidumu, wako makini sanaa au watu.
 
Hii ya kunawa kwa maji kuna siku itakuwa world uniform format kama kunawa mikono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…