FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Kama binadamu wote tumetokea Africa, Adam na Hawa wamekuaje wazungu?Wazungu walitokana na adam na eva ila sis ile sku mungu alipoumba wanyama akaumba gorillas ambao ndio sisi so usijipe stress zisizo na maana
Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Ila Umenifikirisha sana.Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.