Mkuu wakati mwingine tunachokiona sisi ni tofauti na wanachokiona hao jamaa bodi za marefaree za CAF na FIFA Huyu refa alikua kati ya waamuzi wa World Cup pamoja na ule utumbo wake kwenye AFCON na nakumbuka mpaka Sky Sports walilisema.Marefa wa Africa ni wale wale tu kama kuna refa aliweza kumaliza mechi dakika ya 85 Tena kwenye Mechi kubwa kuna Nin apo
Kuna ile nyingine ya Kapombe alimchezea Mudathir, na ile ya Inonga kwa Sureboy. Yote ni kwa sababu hatuna VAR yapo matukio mengi yanahatarisha wachezaji yanachukuliwa poa ila kama tutapata jicho la pili kali zaidi itasaidiaDaaah Aucho kwenye kile kiwiko ilikuwa ni straight red card sema huruma za refa zikamfanya apewe yellow
Daaah Aucho kwenye kile kiwiko ilikuwa ni straight red card sema huruma za refa zikamfanya apewe yellow
Sometimes marefa wanafanya maamuzi kwa hisia wanaamini haukuwa na intention ya kumfanyia rafu mpinzani ni coincidence tu imetokea katika kupambania timu yako
Dah kushabikia mpira then uwe mbongo noma sana yaani unakuwa bias tu muda wote.....Kuna ile nyingine ya Kapombe alimchezea Mudathir, na ile ya Inonga kwa Sureboy. Yote ni kwa sababu hatuna VAR yapo matukio mengi yanahatarisha wachezaji yanachukuliwa poa ila kama tutapata jicho la pili kali zaidi itasaidia
Wataonea wapi wakati muda huo wa mpira wapo bar wanalamba maji!Naamini waaamuzi na waamuzi wasaidizi wa Tanzania mnaangalia AFCON Kwa lengo la kujifunza. Mechi mbili za Leo yaani Senegal vs Gambia na Cameroon Vs Guinea zimewapa funzo adhabu gani anapaswa kupewa mchezaji anayehatarisha usalama wa mwenzake Kwa kucheza madhambi bila tahadhari.
Kwa hiyo hutaki Simba iongelewe? Mbona jamaa yako kaiongelea Yanga hujasema kama unavyojisemesha hapa. Btw nimetoa maoni ya kimpira kulingana na mada mezani naona wewe imekugusa pabayaDah kushabikia mpira then uwe mbongo noma sana yaani unakuwa bias tu muda wote.....