NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
id yako nikamkumbuka Rose Monroe kipenzi cha wana😂😅 DeepPondWatu wengi ni luzaz kwa kuwa tunafata kwa usahihi njia isiyo sahihi.
Fanya ujifunze au ujifunze ukafanye.... Who reverse the order. Knowledge vs Experience.
Mchungaji watu wamestadi ila wakija game ina wakamia.
Na ndio sababu ukifanikiwa watu wanauliza Mtaalam gani ulimwendea.
Tofauti kabisa azifanani hata kidogo😂U na O zinafanana sku hz.
Hongera... Kwa hiyo Alikufundisha kuchungulia kwa kukuchungulia au ?Tofauti kabisa azifanani hata kidogo😂
shetani ujue ni fala sana huyu ananitafuta nikachungulie kule namimi sitaki sasa,siendi😅