UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Kwa maoni yangu.
Ni kama vipi lile bunge lilikuwa linampa Mbowe promo za kisiasa badala ya kuwaelimisha watanzania uzuri wa yale makubaliano.
Ni kama vile wabunge walikuwa wanawapiga biti kali kali watanzania waliokuwa wanatoa hoja zao kuhusu makubaliano.
Ni kama vile wao ndio watanzania halisi na wengine wa mitandaoni ni watanzania koko.
Ni kama vile Rais Samia ni wa kwao sio wa watanzania wengine.
Ila Samia ana nia nzuri sana na hili Taifa basi tu watendaji wake wanamuangusha sana
Sijui wengine mlionaje.