Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama.
Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge huwa ni mikubwa?
Na je, wakikatwa mafao yao, mafao yataosha na kubaki ukizingatia hata miaka miwili ya kuwa wabunge haijatimia?
Hivyo, huenda tatizo ni hili japo halsemwi kama lile takwa la kuridhisha wafadhili.