Hivi wabunge wanaovuliwa Ubunge mikopo yao hulipwa na Serikali au hukatwa kwenye malipo yao ya kiinua mgongo?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama.

Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge huwa ni mikubwa?

Na je, wakikatwa mafao yao, mafao yataosha na kubaki ukizingatia hata miaka miwili ya kuwa wabunge haijatimia?

Hivyo, huenda tatizo ni hili japo halsemwi kama lile takwa la kuridhisha wafadhili.
 
Serikali za kidikteta huwa hazijali maslahi ya wananchi hivyo wapo tayari kuuza tembo 50 ili kuwalipia hao mahangaya
 
Watajia Hawajui 🚶
 
Inaongozwa na njaa,roho mbaya na chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…