Hivi wadada mnawekaga kumbukumbu kama mimi??

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,970
Kwanza nimewamiss....tenaa saaana ila majukumu ndo yananipeleka resiiiiiiii balaaaa ukizigatia na wanaume wenyewe hawatoi hela basi lazima mwanamke nitafute mkwanja wangu hata nikiamuaa kutongoza mtu hanibabaishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
.
.back to the topic hivi wadada mna tabia ya kuweka kumbukumbu ya watu ulotembea nao,mahali mlipokutania na kufanyia mahaba,tarehe na siku???
.
.basi i dont knw why nshakuwa addicted na hili jambo yaan kila nikimaliza shughuli nikifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuweka kumbukumbu including na match yenyewe ilivyokuwa bila kusahau kiwango cha man of the match lols......
.
.ustake kujuaa mpka kufikiaa mwezi huu wa kumi na moja list ilikuwa ngap hahahahahahaha[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]


Hivi kuna mtu mwenye haka katabia.na je huwa kinawakumbusha nini kila mkipitiaa kumbukumbu zenu??????!?

MAMBEMBE THE BED MASTER
THE QUEEN OF ALL WEATHER
KAMA INAUMA CHOMOA
 
Insta babe nimekumiss mm anayekuteka namuomba tu mm awe anakuachia kidogo tu kwa ajili yangu

Umri huo insta babe nimeshapita na uzee huu nipo na mzee mwenzangu huyo huyo naanzaje
😂😂😂 insta babe bhana sema upo na kijana mwenzako wewe uzee bado

nilikumiss pia insta babe ujumbe wako ntaufikisha 😅😅
 
Maumivu nauguliaaa mwibabukizama nahis mateso[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama imeuma chomoa, diamond anasema paka mate iteleze kama nyoka pangoni.
 
Ukifika 60, umri wa kustaafu andika kitabu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…